Alice Ayres

Alice Ayres.

Alice Ayres (12 Septemba 185926 Aprili 1885) alikuwa mjakazi wa Uingereza aliyeheshimiwa kwa ujasiri wake kwenye ajali ya moto wa nyumba alipookoa watoto aliokuwa akiwahudumia.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne